Ni tukio la kusikitisha kutoka Mkoani Dodoma ambapo mtoto mwenye umri wa miaka mitano anapitia manyanyaso makubwa kutoka kwa Mama yake wa kambo.Majirani wa eneo waliingiwa na huruma ndipo wakaamua kututafuta kwa ajili ya kumsaidia mtoto huyu...Sikiliza kisa kizima hapa